Monday, July 30, 2012

Thoughts in Kiswahili


Unasemaje watu wa dunia, tukilea juuya shida yetu, halafu tutakua tukisikia watoto wanapocheka?
Penda, cheka, cheza
halufa hatakuna matata 




"What do you say people of the world, if we cry about our problems, then how will we hear when children laugh?"
Love, laugh, play
Then there will be no problems"




Passage of the day, Surah 8, ayat 53.

"Because God will never change the Grace which he has bestowed on a people until they change what is in their own souls, and verily is He who hears and knows all things"


Kwasababu Mungu hatawezakubaadelika kurahem amabayo katika watu lakini wanawezakubaadelika katika tegemeo, kwasababu Mungu anasikia na anajua kila kitu.




Ninafikiri kupenda Mungu ni kupenda watu wa dunia. Kupenda watu wa dunia hufai kuua mama na watoto wa dunia kwasababu utakua mpenzi ya Shaitan.


"I think to love God is to love the people of the world. To love the people of the world, you 


must not murder the mothers and children of the world because you will become the lover of 


Satan"





No comments:

Post a Comment